Monday, January 6, 2020

VIDEO | Mbosso - Ate (Official Music Video)

Endelea kuitembelea djwillkan.blogspot.com kwa Habari zote za kiburudani, Music & Story | Mp3 & Videos download
            
           

Wednesday, April 18, 2018

TAMASHA | AMANI BEI KALI (Amani kwanza changia Damu kwa uhai)

TAMASHA KUBWA LITAKALOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI KATIKA UWANJA WA SHYCOM MJINI SHINYANGA

LULEKIA COMPANY LTD wakishirikiana na SIMULIZI AFRICAN ENTERTAINMENT wanakuletea tamasha kubwa siku ya Tarehe 21 April 2018 katika Uwanja wa SHYCOM mjini Shinyanga. Tamasha la Amani Bei Kali ( Amani kwanza changia Damu kwa uhai ), Ambalo limeandaliwa na LULEKIA COMPANY kwa kusudu maalumu la kuchangia damu salama pamoja na upimaji wa hiali wa VVU.

Wakazi wa mkoa wa Shinyanga mnaombwa kujitokeza kwa wingi, pia kutakuwepo na Burudani mbalimbali ya muziki wa Bongo Fleva na Bongo Movie. Hakuna kiingilio na muda ni kuanzia SAA 02:00 Asubuhi hadi SAA 06:00 Usiku. Watu wote mnakaribishwa....

IMEWEZESHWA NA:
LULEKIA COMPANY LTD | SIMULIZI AFRICAN ENT | KINGS BARBERSHOP & SPA |
DOCTOR'S WITH AFRICA (Test & Treat)



ENDELEA KUITEMBELEA DJ WILLKAN BLOG KWA KULIKE PAGE YETU YA FACEBOOK
- INSTAGRAM
- TWITTER
E-mail: djwillkan@gmail.com