Friday, September 26, 2014

CHRISTIAN BELLA NA MALAIKA BAND NDANI YA BUZURUGA PLAZA JIJINI MWANZA LEO

CHRISTIAN BELLA NA MALAIKA BAND LIVE NDANI YA MWANZA FULL KUWASHA MOTO
Prizenta wa Passion Fm Radio Mwanza Philbert Kabago (kushoto) akikisanukisha mtamboni 91.0 mida hii.
Baadhi ya wanamuziki waimbaji wa Malaika Band wakiwa ndani ya studio za Passion Fm Mwanza kufanya mahojiano kwaajili ya maandalizi ya show itakayofanyika hii leo pale Buzuruga Plaza, kiingilio ni shilingi 10,000/= unazama ndani.
Shiiiii kimya ila mwambie na mwenzio.
Kutoka kushoto ni Pique Dyzow, Petie Mauzo, Babu Bomba na Chesco Vuvuzela.
Kutoka kushoto ni Pique Dyzow, Petie Mauzo, Babu Bomba G. Sengo na Chesco Vuvuzela.
Hapo vije...
Wanamuziki wa Malaika Band wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa My Way Enterteinment.


                                                          djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment