Monday, September 29, 2014

Windhock Yakutanisha Marafiki ROCK BOTTOM Ndani ya ROCK CITY

                                                           WINDHOCK                                                                    
Meneja mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Godfrey M. ambao pia ni wasambazaji wa bia ya Windhock, akitoa maelezo ya ubora wa bia hiyo kwenye hafla maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo mahsusi kwaajili ya kuwakutanisha marafiki na kufurahia uzuri wa kinywaji hicho. Mpango mzima ulifanyika ndani ya Club Rock Botton, Gold Crest Hotel jijini Mwanza.
Kulia ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Mabibo Beer Godfrey M. akifuatiwa na Maafisa wengine toka kampuni hiyo Rahim Kabyemela (katikati) na Mr. Okere (kushoto) wakitoa utangulizi kwenye hafla maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo mahsusi kwaajili ya kuwakutanisha marafiki na kufurahia uzuri wa kinywaji cha Windhock Lager. 
Flowers wakifuarahia Windhock Lager.
Usishtuke pale utakapo kuta meza imeng'ara kwa milipuko kiasi hiki ukadhani kwamba hakuna atakaye amka kesho, la hasha!! Waache Brothers wafurahie kinywaji chao kwani hakuna mning'inio hapa katika siku inayofuata, Windhock itakupa uhuru wa kufanya kazi zako na kutimiza majukumu kama inavyopaswa.
Sisters, sisters.
Doin his thing Dj Ben on One & Two.
Peace Dj Hq (L) na Dj Ben (R).
Huku mziki mzuri ukiendelea friends wakimimina Windhock Lager.
Jiografia ya wana-Mwanza haflani.
Brothers are enjoying the Beer.
Service zikiendelea.
Chama langu toka Sahara Media Group.
Chicks
Kitu cha Windhock .... Safi sana...!!


                                                                djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment