Tuesday, October 7, 2014

IRENE LEVENDA, MSHIRIKI WA BIG BROTHER AFRICA 2014 KUTOKA TANZANIA



Irene Neema Vedastous ‘La Veda’, Mshiriki wa Big Brother Hotshots kutoka Tanzania.
IRENE NEEMA VEDASTOUS ni msichana mrembo wa Kitanzania, mwenye umri wa miaka 23 anayeiwakilisha Tanzania katika shindano la BIG BROTHER 2014 ‘HOTSHOTS’ nchini Afrika Kusini.

La Veda katika pozi na baadhi ya mastaa.

No comments:

Post a Comment