Monday, August 4, 2014

Shaah live Kutoka Coke Studio Africa akijibu Maswali ya Mashabiki

Shaa (Tanzania), Jackie Chandiru (Uganda) na Kagwe (Kenya) live kutoka Coke Studio Africa wakijibu maswali kutoka kwa mashabiki zao kupitia katika mitandao ya kijamii huku waki share safari yao ya kimuziki

No comments:

Post a Comment