Kama ulimiss basi ile ratiba ya tamasha la fiesta iliyotolewa hapo jana
kupitia xxl, wakati mkurugenzi wa vipindi Clouds Fm bwana Sebastian
maganga ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya Fiesta 2014 akitiririka
ni kwamba kuna good mwaka huu hasa kwa sehem ambazo Clouds imesikika kwa mara ya kwanza ambapo kwa kanda ya ziwa, kwa mara ya kwanza Fiesta itatia timu mwaka huu katika wilaya ya Kahama na kwa mkoa kwa Kagera ni Bukoba.
djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment