Saturday, August 9, 2014

JUKWAA LA SERENGETI FIESTA 2014 MWANZA

 Serengeti Fiesta pande za Mwanza Mwanza ndiyo kinahappen leo so kama wewe ni mkazi wa hapa Mwanza,mida mida tukutane ndani ya uwanja wa Ccm Kambarage,maandalizi ya uwanja yamekamilika na hali iko hivi kwa sasa




         

                                 habari za burudani na djwillkan.com                  

                                      

No comments:

Post a Comment