Friday, April 22, 2016

VIDEO: Ndi ndi ndi, Lady Jay Dee. Iko hapa...Ni baada tu ya kuiachia rasmi EATV Friday Night Live April 22 / 2016



Judith Wambura maarufu Lady Jay Dee, amekwisha itambulisha Video ya wimbo wake mpya ambao umejibebea umaarufu mkubwa sana kwa muda mfupi. Wimbo huo ambao unafahamika kwa jina la Ndi Ndi Ndi, kwanini ndi?===Ndi ni neno la kiganda na maana yake ni kitu ambacho kimekamilika. Jay Dee amefanya mahojiano katika kituo cha TV cha East Africa Television, ni mahojiano ambayo haijawahi kutokea kwa msanii yeyote wa Bongo na hata nje. Ni mahojiano yalikuwa mwanzo wa kipindi hadi mwisho.
Jinsi mwana Dada Jay Dee alivong'ara katika video hii basi tambua yakwamba ni mdada mrembo pembeni ndiye aliyehusika katika upande wa Makeup. Director wa video amehusika Justin Compus kutoka South Africa, lakini pia ni director ambaye wamekuwa wakifahamiana na Lady Jay Dee kwa maswala ya kikazi tangu mwaka 2006, ambavyo imekuwa leo hii wanamuziki wengine wa Bongo ndio wamemfahamu Director huyo.


VIDEO IKO HAPA NI WAKATI WAKO WA KUENJOY NA VIDEO KALI 



UNGANA NAMI KATIKA MITANDAO MINGINE YA KIJAMII: Facebook== DJWillkan.com, Twitter== @Djkanvol  Instagram== @djwillkan_zekanvol
KWA HABARI MOTOMOTO ZA KIBURUDANI, SIASA, MICHEZO, HABARI ZA KUSISIMUA NA ZINGINE NYINGI.
 djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment