Download na kusikiliza nyimbo ambayo mjukuu wake kamuimbia babu yakE, Mh. Leonard Newe Derefa[Mwana Derefa]. Alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Shinyanga mjini tangu mwaka 1995 hadi mwaka 2005, kwa awamu mbili alikuwa madarakani. Kupitia chama chake cha Chama cha Mapinduzi[CCM].
No comments:
Post a Comment