Monday, March 31, 2014

NKUNDA STAR AMZUNGUMZIA WEMA SEPETU

Nanukuu kama alivyosema NKUNDA STAR;

Najua ni ngumu sana kumsifia mwanamke usiye na mahusiano naye. Ila huyu anazidi kukonga moyo wangu sana mpaka nahisi hakuna mwanamke aliyechukuwa nafasi katika akili yangu kama yeye.
               
          Djwillkan.com ikamuuliza  zaidi, "kivipi anakukaa zaidi katika akili yako inakuaje hapo?

JIBU; Najua wengi watapelekea ananivutia kimapenzi lakini sivyohivyo, mimi kama mimi napenda au natarajia hapo baadae kuja kufanya naye kazi na si mapenzi.

Kutokana na sifa nizionazo kwake;
1. Ni mwanamke anayejituma,
2. Ni mwanamke muelewa sana,
3. Ni mwanamke anayekwenda na wakati.
Anasifa nyingi sana kwangu Wema Sepetu nikizitaja zote zitajaa kitabu.
Nkunda Star akamaliza kwa kusema, nampenda sana Wema na ninawaza oneday nitafanya naye kazi popote
alipo ajue ninamkubali sana.

Msanii huyo chipukizi anayetamba na nyimbo zake Hundere pamoja na Far away, NKUNDA STAR kutoka WEUPE PYEEE.

1 comment:

  1. ahsanteeeeeeh nkunda nakuuunga mkona kwa maneno yako aiseeeh Wema ni noumaaaaaaaaaaaaaaah

    ReplyDelete