Uzinduzi wa wimbo na video ya Cocoa na Chocolate uliofanyika nchini Lagosi chini ya One Campaign, wasanii wa Africa walioshiriki katika wimbo huo wamekutana na kuzindua wimbo huo kupitia BEAT Fm.
Wimbo huo ni wimbo ambao unawasii vijana wa kiafrica kuwa maisha,
yao ya baadae yako chini ya miguu na mikono yao wenyewe, kupitia kilimo Africa sio tu inaweza kujilisha
na kuondokana na umaskini lakini pia inaweza kulisha dunia kiujumla.
One Campaign ni kwa ajili ya kuwashikiza viongozi wa Africa kukipa kipaumbele kilimo lakini pia kuwahamasisha vijana kuingia katika kilimo kwasababu kinalipa.
Katika picha hiyo wakwanza kutoka kushoto na watatu ni watangazaji wa kituo hicho cha BEAT Fm, Diamond(Tanzania), Dama do Bling(Mozambique), Vusi Nova(South Africa) na Dontom(Nigeria/Paris).
No comments:
Post a Comment