Sunday, July 12, 2015

RATIBA YA MAZISHI YA Mh LEONARD NEWE DEREFA [MWANA DEREFA]



 Mazishi yatafanyika siku ya kesho Juma tatu Julai 13 nyumbani kwake Ngokolo Shinyanga mjini. Leonard Newe Derefa maarufu kwa jina la Mwana Derefa,. alikuwa Mbunge wa jimbo la Shinyanga mjini tangu mwaka 1995 hadi 2005, awamu mbili zote kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi [CCM].


Mazishi yangelifanyika siku ya J-Mosi kijijini kwao Sengerema, lakini kutokana na taratibu za kanisa pamoja na sughuli za chama zilizokuwa zikiendelea Mjini Dodoma, ziliomba kwa familia mazishi yafanyike siku ya j-tatu mjini Shinyanga.



djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment