Jeshi la polisi kanda maalum Dar es salaam limesema wamekusanya kiasi cha shilingi za kitanzania milion 796.8
kupitia tozo za makosa ya barabarani kwa kipindi cha kuanzia December
13 2016 hadi December 22 2016 na kuiingizia serikali mapato.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam Naibu kamishna wa polisi kanda maalum Lucas Mkondya amesema…>>>’idadi ya magari yaliyokamatwa ni 20,747, pikipiki 2,186, daladala 8,213, magari mengine binafsi 13,534‘‘Wakati
huo huo bodaboda waliofikishwa mahakamani kwa makosa ya kutovaa helmet
na kupakia mishkaki ni 36 hivyo jumla ya makosa yaliyokamatwa ni 23,660‘ –Lucas Mkondya
Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram:@ djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol
No comments:
Post a Comment