DJ WILLKAN

Pages

  • Home
  • VIDEOS
  • SHOWS
  • ENTERTAINMENTS
  • SHINYANGA
  • LULEKIA
  • EASY SEASON SHOW
  • YouTube

Saturday, March 25, 2017

SOCIAL NETWORK (Twitter) : Tundu Antiphas Lissu, Swahili Times, Wema Sepetu, Hon.Mwigulu Nchemba>>Soma ndani




SOCIAL NETWORK (Twitter)




avatar
Tundu Antiphas Lissu
@TunduLissu

Si Vema kumtishia Silaha mtu asiyekua na silaha.


reply
retweet
 220
favorite
 740





avatar
MxCarter
@MxCarter

Dooooh! Tunaenda wapi Tanzania.


reply
retweet
 210
favorite
 360





Retweeted by
JOTI and 1 others




avatar
Swahili Times
@swahilitimes

Msanii Hamorapa akitimua mbio na kujificha, pale askari kanzu alipotoa bastola kumzuia Mbunge Nape Nnauye asifanye mkutano na wanahabari. pic.twitter.com/bGWRj605qp

reply
retweet
 69
favorite
 220





avatar
Wema Sepetu
@wema_sepetu

Hivi Kumbe HarmoRapa alienda mpaka Protea.... 😅😅😅

reply
retweet
 32
favorite
 440





avatar
#Tusipangiane
@M_Sungwa

Ogopa sana mtu anayetaka kila kitu afanye yeye, polisi yeye, hakimu yeye, mhariri yeye, mwanasheria yeye, engineer yeye, kila kitu yeye tu..

reply
retweet
 88
favorite
 200





avatar
Hon.Mwigulu Nchemba
@mwigulunchemba1

Mh.Nape sio jambazi, hana record za uhalifu.Kitendo cha kutolewa bastora si cha kitanzania na si cha kiaskari,Nimemuagiza IGP achukue hatua.


reply
retweet
 610
favorite
 1.4K

Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram: @djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol
at March 25, 2017
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Search This Blog

About Me

My photo
DJ WILLKAN
View my complete profile

Popular Posts

  • FOMU ZA USHIRIKI WA MISS SHINYANGA CENTER ZINAPATIKANA UNIQUE PUB PAMOJA NA LIGA HOTEL
  • Haya Ndio yaliyojiri MANISPAA YA Shinyanga Leo
    Hapa ni ndani ya ukumbi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga,ambako leo kumefanyika mkutano mkuu wa mwaka wa halm...
  • VIDEO | Dashie - Nikoleze (Official Music Video)
                  ENDELEA KUWA PAMOJA NA DJ WILLKAN BLOG ,.. Kwa KULIKE page ya Facebook, DJWillkan.com Pia waweza kunifollow kwen...
  • SIMON MWAPAGATA ni mmoja kati ya nominated ya comedian 2015 kwa movie ya Majanja
    Simon Mwapagata staa wa Bongo Movie amekuwa nominated ya comedian 2015 kwa movie ambayo imetamba sana, inaitwa Majanja. Itazame kama bado hu...

VIDEO | Mbosso - Ate (Official Music Video)

Endelea kuitembelea djwillkan.blogspot.com kwa Habari zote za kiburudani, Music & Story | Mp3 & Videos download                ...

DJ WILLKAN

DJ WILLKAN

Tags

AUDIO (17) djwillkan.com (32) ENTERTAINMENT (18) INSTAGRAM (2) MUSIC (2) STORY (5) VIDEOS (23)

My Blog List

  • BekaBoy
    AUDIO: Kidene Fighter – Pawa | Download - AUDIO: Kidene Fighter – Pawa | Download Mp3 The vibrant Singeli music scene just got richer with the release of “Pawa,” a brand new love song from the tale...
    8 hours ago
  • DJ Mwanga
    AUDIO | Harmonize - Kushoto Kulia | Download - *DOWNLOAD* Listen to Harmonize - Kushoto Kulia byDJ Mwanga on hearthis.at
    5 years ago
  • TEAMTZ
    Ratiba ya raundi ya nne ya FA, Timu ya Nottingham Forest iliyoitoa Arsenal kupambana na Hully City - Ratiba ya kombe la FA katika hatua ya raundi ya nne imetoka baada ya kufanikiwa kuiona Arsenal ikitupwa nje ya michuano hiyo katika raundi ya tatu na timu ...
    7 years ago

FOLLOW ON TWITTER

Follow @Djkanvol

TWEET TO ME

Tweet to @DjKanvol

Labels

  • AUDIO
  • djwillkan.com
  • ENTERTAINMENT
  • INSTAGRAM
  • MUSIC
  • STORY
  • VIDEOS

Contact Form

Name

Email *

Message *

Facebook

Followers

DJ WILLKAN (c) 2020. Simple theme. Powered by Blogger.