Soko maarufu kwa biashara za mbao mjini Shinyanga la Kambarage
linateketea kwa moto Muda huu, huku fire wakishindwa kuudhibiti moto
huo, umbali kutoka kituo cha fire kuja sokoni ni kama mita 500, lakini
hawakufika kwa wakati hivo kusababisha sehemu kubwa ya soko kukeketwa
kabisa.
CHANZO CHA HABARI: www.jamiiforums.com
Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram: @djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol
No comments:
Post a Comment