
Akizungumza
na mtupa taarifa hizi, Mratibu mtendaji wa tamasha hilo Kareeem Omary
KO amesema, maandalizi yameshakamilika na wanawaomba wadau kujitokeza
kuonesha LOVE ya pamoja.
Kareeamesema walizungumza na familia na kwa pamoja wamebariki tukio
hilo ambalo kabla ya ukumbini, litatanguliwa na ibada mbili ya Kanisani
na nyumbani.
No comments:
Post a Comment