Gari hilo kutoka Serikali ya China limeshawasili na tayari mafundi tisa wa Kichina wapo nchini ili kusaidia katika urushaji wa matangazo hayo ya sherehe za Muungano pamoja na kuendesha mafunzo kwa mafundi wa TBC.
Kundi la mafundi wa TBC lilikwenda China wiki chache zilizopita kujifunza jinsi ya kutumia gari hilo ambalo limeelezwa kuwa bora kwa kurushia matangazo ya televisheni ya nje kuliko jingine lolote hapa nchini kwa sasa.
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), limepatiwa gari jipya la kisasa la kurushia matangazo ya nje (OB Van), ambalo kwa mara ya kwanza litatumiwa kwenye matangazo ya sherehe za miaka. 50 ya Muungano wa Tanzania kesho kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Gari hilo kutoka Serikali ya China limeshawasili na tayari mafundi tisa wa Kichina wapo nchini ili kusaidia katika urushaji wa matangazo hayo ya sherehe za Muungano pamoja na kuendesha mafunzo kwa mafundi wa TBC.
Kundi la mafundi wa TBC lilikwenda China wiki chache zilizopita kujifunza jinsi ya kutumia gari hilo ambalo limeelezwa kuwa bora kwa kurushia matangazo ya televisheni ya nje kuliko jingine lolote hapa nchini kwa sasa.
No comments:
Post a Comment