Baada ya kuachia ngoma ambayo ilitamba sana, Weupe pyee sasa waja na kitu kipya tena wakiwa wameshirikisha Dj wao WILLKAN ambaye ndiye husimama katika show zao zote wanapokuwa jukwaani. Mashabiki wakauliza, Je, itakuaje sasa kama na Dj wao anaimba show zao nani atakua kwa mtambo akisababisha?
JIBU,
Inawezekana sana Dj Willkan kusimama mtamboni huku akiimba kwani Weupe pyee kampuni ambalo limebarikiwa kuwa na vipaji vingi sana kwahiyo kitu kama hicho kwa Dj wao ni kidogo sana.
No comments:
Post a Comment