Tuesday, August 12, 2014

DIAMOND AAHIDI KUFANYA COLLABLE NA MSHINDI WA SUPER NYOTA

Wakati msako wa kuwatafuta akina dada wanye vipaji vya kuimba kupitia Super Nyota Divas inayoendeshwa na Fetty kupitia Clouds FM ukiendelea katika mikoa mingine 17 baada ya kufanyika katika mkoa wa Mwanza, Diamond aahidi kufanya collable na mshindi wa Super Nyota
Akiwa kwenye stage baada ya ku-perform na Lina "Kizaizai" Diamond alitoa tamko hilo akisema
mi naamini si wote tunapenda mama zetu sindio? na mwanamke yoyote ni sawasawa na mama kwasababu wao ndio wanazaa si ndio? 
Nimefurahishwa sana na jinsi super nyota diva wa Mwanza,
alichokifanya amefanya kitu kizuri sana, na mimi nimewaambia kabisa, nimetoa ahadi yangu kwa Clouds kwamba, atakaeshinda mwanamke sasa hivi kwenye Super Nyota ntafanya nae collable bure kabisa hata shilingi kumi sichaji, kwasababu hiyo itasaidia kuwasaidia wanamziki wakike kuwa wengi na ndio itarahisisha pia dada zetu wasinanilii ushaelewaa....

No comments:

Post a Comment