Tuesday, August 12, 2014

Je wewe ni Msanii? Meneja? Una Studio ya Kurekodi Muziki? soma OFA Hii

IMG_0324
KITAA PROMOTIONS chini ya Kampuni ya SHOWBIZ DEFINED VIDEOZ inatoa ofa ya video Kumi (10) kwa wasanii chipukizi ambao hawajawahi kufanya video kabisa na wana nyimbo nzuri, nasisitiza nyimbo nzuri uwe unaimba muziki wa injili , bongo flava, ragga , reggae n.k
NINI CHA KUFANYA ILI UPATE OFA HII
Tuma nyimbo yako kwenda kitaajoint@gmail.com ,
1. Andika jina lako halisi
2. Jina la Kisanii
3. Umerekodia studio ipi pamoja na jina la producer
4. Upo Mkoa gani
5. Mawasiliano (Simu, Email, Whatsapp /Viber number)
Mwisho wa kutuma nyimbo ni tarehe 15.08.2014
Kama umechaguliwa utapata majibu kwenye mawasiliano ambayo utakuwa umetupatia.
Ukiliona Tangazo hili share kwenye wall yako ili nawe uweze kumsaidia Artist aliye jirani yako


                                                                 djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment