Friday, November 28, 2014

NITAPIGA NGUMI WABUNGE WOTE,..MANENO YA KALAPINA

 Katika sakata linaloendelea hivi sasa bungeni juu ya pesa za Tegeta Escrow kuwa na sintofahamu ya ni za wananchi au la, maoni ya mwanahiphop aliewahi kujitangaza kugombea ubunge mwaka ujao Kala Pina" amesema haya
"Maoni yangu zile ni pesa sa umma ama si bana na repoti ya watu wasoni na yenyee imechunguza imetoa ripoti yake kwamba hawa watu inabidi wafilisiwe mali zao na wapandishwe kwenye mahakama ili kuweza kujibu tuhuma zinazowakabili, wanaotakiwa kutoa maelezo ya kina ambao ni mawaziri wamekuwa wakijiumauma sana ujue,
hawanyooshi maelezo. kwa namna moja au nyingine tunajikuta tunalipia umeme kila siku unapenda bei unit moja 500 sijui kutokana na michongo kama hiyo siyo, madeni yakwao wao baadhi ya mafisadi wachache lakini wanaleta ujanja ujanja mwisho wa siku  madeni hayo yanakuja kumwangukia mwananchi wa kawaida.." amesema Kala Pina
"na mi najipanga kugombea jimbo la Kinondoni " aliendelea kusema Piana "sema nachosema mimi kama nafanikiwa kuingia Bungeni kwa mambo kama haya ninayoyaona wabunge ntawapiga sana watu ngumi b ungeni kwasababu masihara mwengi, ntatumia nguvu zangu za ziada kukabiliana na mafisadi" 
 
 
djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment