Kutoka U S A mpaka bongo |
Moja wa wakilishi wa cloudsmedia akiwapokea |
Huyu ndie Jason Geter meneja wa T I |
Jason Geter mbele ya camera ya clouds media group kwajili ya interview |
Baada ya mapokezi moja walee |
Nifuraha kubwa kwa wapenda burudani wote nchini na n'je ya nchi kwa ujio
wa manager wa msanii mkubwa wakimataifa T I kuwasili katika aridhi ya
Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius
Nyerere,furahiyo n ikwasababu huu ni uthibitisho wa msanii huyo wa
kimataifa kuja kwajili ya Serengeti Fiesta 2014 Dar es salaam jumamosi
hii 18 oct 2014 pale pale ledears club.
djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment