Thursday, November 27, 2014

Tazama Picha za HARUSI ya SAMWELI ETO'o baada ya Kuishi miaka 10 na Mchumba wake

Star wa mpira wa miguu kutoka Cameroon Samuel Eto’o amefunga ndoa na mama wa watoto wake, Ivorian Tra Lou Georgette katika sherehe ndogo wiki hii siku ya jumatatu November 24.
Imeripotiwa kuwa mcheza mpira huo alim-propose  mchumba wake huyo mwezi wa saba na pete ya diamond yenye thamani ya Euro 500,000 licha ya kuwa wawili hao walishaoana kwa ndoa ya kimila tangu 2007 na wamekuwa pamoja kwa miaka 10 sasa.

Sherehe hizo zimefanyika CapiagoIntimiano, katika mji wa malavidavi Como,Italy.
djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment