Wednesday, February 18, 2015

Watu kuzitoa £35 kwa £25 siku ya tar 21 Kuruka na Yamoto Band Mjini London

Inapendeza sana kuona vijana wanalisongesha game la Muziki vizuri. Jumamosi ya tarehe 21 wiki hii, Yamoto Band watatumbuiza mjini London ukumbi wa Royal Regency kwa kiingilio cha £35 kwa V.I.P na Standard ni £25.

No comments:

Post a Comment