Thursday, March 5, 2015

Christian Bella na Kundi zima la Malaika Band ndani ya Shinyanga

Kundi zima la Malaika Band linalo imba Muziki wa dance pamoja na kiongozi mtu wa masauti, Christian Bella. Kutokana na tour ya 'Nani kama Mama' sasa ni zamu ya Shinyanga, katika ukumbi wa NSSF, kwa ruksa ya Sh 10000 mlangoni.Christian Bella amezungumza kwa niaba ya Malaika Band kuwa mashabiki wa Muziki wao watalajie vitu vipya na kasi ya kutosha katika stage kama ilivyo kawaida ya Malaika Band.

No comments:

Post a Comment