Ni miaka kumi na saba tangu kampuni ya Bia ya Tanzania Breweries Limited ianze kuzamini mchezo wa mbio za Baiskeli. Hapo mwanzo ilikuwa ikizamini Bia ya Ndovu pia iakafuata Balimi na baadae ilianza kuzamini Safari Lager. Lakini kwa msimu huu tena Balimi imerudi tena katika uzamini wa mbio za Baiskeli ambazo zinajumuisha kina Wanaume na Wanawake, pia kwa walemavu.
Mwenyekiti wa wanachama wa mbio za Baiskeli.
Huyu ndio mshindi wa kwanza kwa wanaume ambao walikuwa wakichuana kutokea Shinyanga hadi Kahama na kurudi Shinyanga Km 220.
Huyu ndio mshindi wa kwanza upande wa wanawake ambao walikuwa wakichuana kutokea Shinyanga hadi Isaka na kurudi tena Shinyanga Km 130.
Hizi ni mbio za baiskeli Wanawake wakiwa wamebeba ndoo kichwani.
Km 4.
Wakijiandaa kwa mpambano.
Mshindi wa kwanza kwa Walemavu, waliokuwa wakichuana kwa kuzunguka uwanja mara 30
Km 12.
Picha zingine tazama
Picha,.. wakati wa zawadi.
Burudani ya ngoma ya asili kutoka kwao Mabulo ya Jeshi.
Willkani katika kuandesha shughuli nzima ya mbio za Baiskeli.
Watu wa nguvu kutoka TBL.
Umati wa watu walivokuwa wamejaa uwanja wa CCM Kambarage.
Dj Pack kikazi zaidi.
Ice Mc katika matangazo.
Meneja masoko TBL Shinyanga John Madatta [kushoto].
PICHA ZINGINE KUHUSU BALIMI NYAMA CHOMA TUTAKUWEKEA BADAE.
Endelea kutembelea djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment