Thursday, December 22, 2016

Audio: Kama haukusikiliza Interview ya Nkunda Star(DIMAGA),..Jembe Fm Mwanza, Iko hapa===Download MP3

Imekuwa ni bahati nzuri kwa Mwanamuziki huyu maarufu kwa jina la Nkunda Star. Jana Dec 21 alipokea simu kutoka ofisi za Radio Jembe Fm na mazungumzo ilikuwa ni kufika na kufanya Interview ambayo ni Exclusive pamoja na utambulisho rasmi wa Trap kali iliyoimbwa kwa lugha ya kisukuma, (DIMAGA).
Nimekuwekea mahojiano kamili yalivyokuwa download na usikilize.
Imekuwa ni daraja zuri na njia ya mafanikio ya kipaji hiki, Shukrani za dhati ziwafikie Jembe Fm 93.7 Mwanza. Wamekuwa msaada mkubwa kumsimamisha kijana huyu mwenye kipaji kikubwa.

EXCLUSIVE INTERVIEW NA JEMBE FM

Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram:@ djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol

No comments:

Post a Comment