Kituo cha runinga cha MTV Base kimetaja majina 50 ya wasanii wa Afrika wa kuangalia zaidi mwaka huu 2017.
Kwenye orodha hiyo ndefu, Wasanii wanne kutoka Tanzania wametajwa,
Ben Pol ametajwa kupitia ngoma yake mpya ya “Phone” akifuatiwa na
Billnas ambaye ameingia kupitia ngoma ya “Chafu Pozi”
RayVanny ametajwa na ngoma yake ya “Natafuta kiki” Huku Ruby pia akitajwa kupitia wimbo wa “Walewale”
Endelea kuitembelea DJ WILLKAN BLOG
kwa kulike Page yetu ya Facebook,..DJWillkan.com, pia Instagram:@ djwillkan_zekanvol
tufollow pia Twitter: @Djkanvol
No comments:
Post a Comment