Ndoho Shida Video Upcoming Nkunda Star |
Mwanzoni mwa safari nzima ya muziki wake, mwanamuziki wa miondoko ya Trap kwa lugha ya kisukuma, maarufu Nkunda Star. Amekuwa akijaribu kushika kila upande ambao aliona ndio njia sahihi ya kupita katika Game hii ya muziki wa Bongo Fleva, lakini ilikuwa ni changamoto kubwa sana kwake. Amewahi kufanya nyimbo zaidi ya 10 kwa style ya kuimba, moja kati ya nyimbo hizo ni Hundere. Nyimbo hii angalau kidogo iliweza kumuonesha wapi pa kupita na kushika.
Wanasema ukikaa karibu na jiko yawezekana ukawa unatamani kupika au unahitaji kujua kupika,...Nkunda Star hakuwahi kukata tamaa ya kuingia Studio, muda wake mwingi alikuwa ikishinda sana Studio. Mizuka ya studio iliweza kumtengeneza Dimaga, (shika, shikilia, kamata au chukua) ndio maana ya dimaga. Ukweli ni kwamba ameweza kushika vizuri kile anachokifanya katika muziki wake wa Trap kwa lugha ya kisukuma.
Hakuna shida kama uliweza kushika vizuri kazi yako, kaa tayali kupokea Hit nyingine kutoka kwake
NKUNDA STAR
OFFICIAL VIDEO Ndoho Shida
ENDELEA KUWA PAMOJA NA DJ WILLKAN BLOG,..
Kwa KULIKE page ya Facebook,
Pia waweza kunifollow kwenye Twitter,
Pamoja na Instagram,
TUTUMIE HABARI ZA KIBURUDANI, MICHEZO, NYIMBO (Audio na Videos)
Kupitia..........SIMU No +255 763 949 775
E-mail.....................djwillkan@gmail.com
NKUNDA STAR KOMAA CONCERT 2017 MWANZA
No comments:
Post a Comment