Monday, November 13, 2017

LULU MIAKA MIWILI JELA

Jaji Sam Rumanyika amemkuta na hatia msanii Elizabeth Michael ya kumuua bila kukusudia msanii wa Bongo Movie Steven Kanumba, na kumhukumu kwenda jela miaka miwili.
''Hta kama marehemu angefufuka kwa miujiza Mahakama hii haitaweza kuchukuwa ushahidi wake'' ameyasema jaji.
Naye wakili msomi wa mwigizaji huyo, Mhe, Peter Kibatala amesema anashughulikia lufaa ili mteja wake apunguziwe adhabu.


ENDELEA KUWA PAMOJA NA DJ WILLKAN BLOG,..
Kwa KULIKE page ya Facebook,
Pia waweza kunifollow kwenye Twitter,
Pamoja na Instagram,
TUTUMIE HABARI ZA KIBURUDANI, MICHEZO, NYIMBO (Audio na Videos)
Kupitia..........SIMU No +255 763 949 775
E-mail.....................djwillkan@gmail.com

No comments:

Post a Comment