Saturday, March 22, 2014

NI NJIA IPI INAWEZA KUKUWEKA KUWA STAR


Muonekano wa hawa warembo bila kukosea ni MISS SHINYANGA. Lakini basi cha kushangaza wengi wao ukiwaona saivi lazima uwashangae sana.
                            Na ndio maana blog hii ikauliza, ni njia ipi inaweza kukuweka ukawa star?
Katika pita pita za blog hii imeweza kubahatika kukutana na warembo kama watatu majina yao yamehifaziwa. Kwakweli ni kitu cha kushangaza sana jinsi walivo,...Eti mrembo yeyote aliye wahi kushiriki
             ama kuingia katika levo hizi za urembo ni haki yeye kama yeye kujiweka ovyo ovyo
mara unaweza kutananaye mjini kati kavaa malapa, nguo hazijanyooshwa yaani yuko vibaya vibaya tu. Na ndio baazi ya warembo wetu wako hivyo
      Sawa hatuwezi jua labda ni hali ngumu ya kimaisha, lakini ni kitu kidogo sana kinaweza kukufanya wewe
ukawa STAR. kwanza unatakiwa uwe adimu machoni pawatu, pili wewe mwenyewe ujitambue na ujithamini
                           Tatu usiwe mtu wa kujichanganya sehemu ambazo hazifanani na hazi yako.
Katika mazoezi
Huyu ndiye miss shinyanga center 2013 Scholastica Sita

No comments:

Post a Comment