Saturday, April 26, 2014

MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WATIMIZA MIAKA HAMSINI



 Waasisis wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu J Kambarage Nyerere (kushoto) na Hayati, Abeid Amani Karume (kulia waliokaa) wakisaini nyaraka za Muungano mwaka 1964.
Mwalimu J Kambarage akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, huku akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar Abeid Amani Karume(wa tatu kushoto) na Mhe. Rashid Mfaume Kawawa (wa kwanza kulia) wakati wa sherehe za kwanza za muungano zilizofanyika tarehe 26,Aprili,1964
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(kushoto) na Sheik Abeid Amani Karume(kulia) wakibadilishana hati za muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 1964.
Waasisi waliotengeneza muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(kushoto) na Hayati, Abeid Amani Karume(kulia).


No comments:

Post a Comment