
| Kuelekea makaburini-Watu mbali mbali wenye mapenzi mema waliojitokeza kumsindikiza marehemu Juma Migeto kwenda katika nyumba yake ya milele katika makaburi ya Nguzo nane mjini Shinyanga |
| Kuelekea makaburini-Wakazi wa shinyanga wakiwa wamebeba mwili wa marehemu Dj Migeto ,kipenzi cha watu |
| Enzi za uhai wake Juma Migeto alikuwa Dj mkali sana aliyetambulisha mkoa wa Shinyanga katika umahiri wake katika fani hiyo |
| Eneo la soko la Nguzo nane-Kuelekea makaburini |
| Ndivyo hali ilivyokuwa mchana wa leo mjini Shinyanga |
| Mwili wa marehemu unawasili makaburini-Ni katika makaburi ya Nguzo nane |
| Tayari mwili wa marehemu unafikishwa katika makaburi ya Nguzo nane kwa ajili ya mazishi mchana wa leo |
| Mwili wa marehemu Dj Migeto unaingizwa kaburini |
| Taratibu za mazishi zinaendelea |
| Watu mbalimbali waliohudhuria mazishi ya Juma Migeto |
| Ni katika eneo la makaburi ya Nguzo nane mjini Shinyanga |
| Mazishi yanaendelea |
| Karibu na kaburi la Juma Migeto |
| Mazishi yanaendelea |
| Mazishi yanaendelea |
| Mazishi yanaendelea |
| Mazishi yanaendelea |
| Baada ya mazishi,kaburi linamwagiwa maji |
| Baada ya mazishi |
| Baada ya mazishi,madj kutoka Shinyanga wakiwa mbele ya kaburi la marehemu Juma Migeto. |

No comments:
Post a Comment