Msanii mkongwe kwenye game la Bongo Fleva
anajulikana kwa jina la Prof Jay leo mchana alikuwa akishoot video yake
mpya aliyomshirikisha Diamond inaitwa KIPI SIJASIKIA. Video hiyo
iliyokuwa ikishutiwa pale Sinza Makaburini ilipo Mahakama. Video
imesimamiwa wa Dir Adam Juma kutoka Next Level
Prof Jay akiwa na Prod P Funk Majani,
DJ Choka akiingia mahakamani
Jini Kabula & DJ choka
New event na djwillkan.com
No comments:
Post a Comment