Yamoto Band wanatarajia kupiga show tar 14 Dec ndani ya NSSF SHINYANGA, itakuwa siku ya Jumapili. Kiingilio kwa mchana, watoto ni Sh 2000, wakubwa Sh 5000. Bado pia usiku show itaendelea kwa kiingilio cha Sh 10000 kawaida na V.I.P ni Sh 15000. Kwa udhamini wa SERENGETI BREWERIES na CLOUDS FM.
djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment