Friday, December 12, 2014
HII NYINGINE KUHUSU MSHINDI WA BBA THE CHASE 2013
Mshindi wa Big Brother mwaka jana Dillish Methew kutoka Namibia alitengana na mpenzi wake mara baada ya kutoka ndani ya jumba hilo kwa kisingizo kuwa mpenzi wake huyo aliakua na mahusiano mengine wakati yeye akiwa anashiriki shindano hili.
Pamoja na mashabiki wengi kudai ushindi wake ndio uliochangia kutengana na mpenzi wake huyo wa siku nyingi lakini habari nzuri kwa sasa zinasema wawili hao wamerudiana na mwanadada huyo amethibitisha hilo.
Katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram Dillish ambaye alijipatia umaarufu baada ya kuibuka mshindi wa BBA aliandika ujumbe kuwa Moyo unataka kile unachokitaka huku akiweka picha ya pamoja na mpenzi wake huyo.
Twitter; DJ WILLKAN @Djkanvol
Insta gram; @Dj_willkan
Facebook; Willkan Von Yahewa
E-mail; djwillkan@gmail.com
willkan.kanvol@yahoo.com
Whatsapp; 0763 94 97 75
djwillkan.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment