Monday, January 26, 2015

Flaviana Matata kushiriki Tangazo la vivutio vya Tanzania

Flaviana ambaye ni mwanamitindo wa kimataifa ambaye hufanya shughuli zake huko New York, ni muda mrefu sasa akiendeleza kutimua kivumbi na urembo wake. Flaviana ni mrembo pekee ambaye ameshiriki Tangazo la vivutio vya Tanzania ambalo litakuwa likioneshwa na CNN America na BBC World.

No comments:

Post a Comment