Dina Marious naye hayuko nyuma na mafuta yake ya nazi kwa watoto.
Mwanamuziki Ray C yeye aibuka na lotion zake mwenyewe.
Mbali na shughuli zao kama tulivowazoea, wameamua kujikita katika biashara zao wenyewe. Kila mmoja kaamua kuja kitofauti katika upande wa biashara, Ray C yeye aja na vipodozi ambavyo ni lotion, Dina Marious mtangazaji wa Clouds fm yeye kaamua kuja na mafuta ya nazi ambayo hutumika kwa watoto pamoja na Joket (Kidoti) yeye kutoa kanda mbili(ndala) zake ambazo zina picha yake mwenyewe. Haya ni mafanikio makubwa sana kwa Mastar wetu na ni jinsi gani wanavyoonesha fursa zao kupitia Biashara mbali mbali.
djwillkan.blogspot.com
No comments:
Post a Comment