Monday, March 2, 2015

Alichokisema Mpoki kuhusu Msiba wa Komba kwenye leo tena ya Clouds fm

Msanii wa Komedi kutoka kundi la Orijino Komedi Mujuni Slyvery maarufu kwa jina la Mpoki.

Amezungumza mengi sana kwa uchungu kuhusu kifo cha Komba. Amezungumzia kuhusu alivokuwa akiigiza sauti ya marehemu japo kuwa wakati ule hakupendelea jinsi alivokuwa akiigizwa sauti yake. Mpoki amedai ameasilika sana kisanii na ili kuweka heshima ya Marehemu Komba ataendelea kuifanya sauti hiyo ili kutunza kumbukumbu.

Mbali na kuumia kwa upande wake alisema yakwamba, 'inauma sana kuondokewa na mtu ambaye ulikuwa karibu naye kwa sababu huwezi kumnunua popote ni heli kuondokewa na Mbuzi ambaye unaweza kwenda hata Vingunguti na kumnunua.

No comments:

Post a Comment