Msanii wa Bongo Fleva Haji Noorah Ngalama amefiwa na mke wake kipenzi. Mke wake alikuwa akisumbuliwa na Kifua mpaka mauti imemkuta. Mazishi yatafanyika mjini Morogoro.
No comments:
Post a Comment