Wednesday, March 4, 2015

PROFESA J Atangza Rasmi kugombea Ubunge

Msanii wa Bongo Fleva Joseph Haule (Prof J), amesema yeye atagombea Ubunge Jimbo la Mikumi, kupitia kadi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

No comments:

Post a Comment