Friday, March 13, 2015

SASA PICHA ZIMEVUJISHA SIRI, KUMBE WEMA NA OMMY DIMPOZ WANAMAHUSIANO!!..

Mastaa wawili mmoja staa wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu siri yao ya muda mrefu yafichuka kwa picha ambazo tayali zimezagaa mitandaoni.

Ommy Dimpoz amesema kuwa kwa maswali mengi waliyokuwa wanajiuliza mashabiki sasa watafahamu ukweli wote kupitia wimbo wake mpya unaoitwa Wanjera.

No comments:

Post a Comment