Tuesday, April 28, 2015

SIMON MWAPAGATA ni mmoja kati ya nominated ya comedian 2015 kwa movie ya Majanja

Simon Mwapagata staa wa Bongo Movie amekuwa nominated ya comedian 2015 kwa movie ambayo imetamba sana, inaitwa Majanja. Itazame kama bado hujatazama ili ufahamu kweli anafaa kuwa mshindi.

Andika TFA 152 kwenda namba 15522

No comments:

Post a Comment