Friday, May 8, 2015

Hemedy PHD & Gelly wa Rhymes, masaa machache yaliyosalia watapiga bonge la show Club Butiama Shinyanga

Mastaa wa muziki wa bongo flavor, Hemedy Phd & Gelly wa Rhymes tayali wamewasili ndani ya mji wa Shinyanga kwaajili ya kuwaburudisha wakazi wa Shy. Kiingilio ni sh 5000 kabla ya saa 6 na baada ya hapo itakuwa sh 10000, wahi mapema kuepuka usumbufu. Club Butiama ni safi sana.

No comments:

Post a Comment