Suma Mnazaleti atapiga show Club Butiama siku ya Ijumaa ya tar 15. Kiingilio ni sh 5000 kabla ya saa 6 sh 10000 baada ya saa 6. Muda kuanzia saa 3 usiku, nyote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment