Unique Pub ilioko upande wa mlango mkubwa wa Kambarage Stadium Shinyanga, inatimiza miaka miwili tangu kuanzishwa kwake na Mkurugenzi wake Georgia Buyamba (Madam G) na Meneja wake Dj Shebby. Party ya kuipongeza pub hii itafanyika tarehe 30 mwezi wa 5 kuanzia saa 12 jioni. Rangi ya party iliochaguliwa na Madam G ni Black and White, kwa wanaume watavaa nyeusi na wanawake nyeupe. Muziki mzuri utaongozwa na madj wazoefu kutoka MidTown DJ's Dj Rey, Dj Pack, Dj Shebby, Dj Salu na Dj Willkan. Screen kubwa itaonesha video za matukio ya party ya kiendelea, Shampen, Cake kubwa na nyama choma.
No comments:
Post a Comment