Qaswida mpya ya Hemedy Zahrani, katika msimu huu wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani Qaswida yenye ujumbe mzuri kuhusiana na mwezi mtukufu. Inaitwa DUA YA RAMADHANI na muimbaji ni Hemedy Zahrani. Jinsi ya kumpata, tumia namba hii 0757 867123 utaweza kuzungumza naye mambo mengi kuhusiana na kazi zake.
djwillkan.blogspot.com
Instagram- dj_willkan_ze_kanvol
Facebook- Willkan Von Yahewa
Twitter- Dj Willkan @djkanvol
E-mail- djwillkan@gmail.com
No comments:
Post a Comment