Monday, July 6, 2015

HEMEDY ZAHRAN KUTENGENEZA MKATABA NA MKITO.COM KUHUSIANA NA QASWAIDA YAKE YA DUA YA RAMADHANI

Asalam alaykum, jina langu kamili naitwa Hemedy Zahran, ni muimbaji wa Qaswaida. Napenda kukupa taarifa kuwa Qaswaida yangu  mpya inayoitwa Dua ya Ramadhani, imefanikiwa kusajiliwa kibiashara rasmi na Kampuni ya uuzaji wa nyimbo za Wasanii kupitia Website ya Mkito.Com. Na tayali nimeingia nao mkataba kisheria na hadi sasa Qaswaida yangu tayali ipo mtandaoni kwa kuuzwa rasmi na Mkito.Com.


Ili uweze kuidownload kiurahisi, ingia Mkito.Com alafu bofya sehemu iliyoandikwa Wasanii, kisha tazama jina la Hemedy Zahran alafu bofya hapo kwenye jina. Utapata Qaswaida ya Dua ya Ramadhani kisha bofya palipoandikwa Download na utaipata kwa aina mbili, ikichagua bure utaidownload ikiwa na matangazo, lakini pia waweza kulipia Sh 250 tu na utaipata ikiwa haina matangazo. Sapoti yako ndio itakayobadilisha uchumi wa Nchi yetu ya Tanzania.



djwillkan.blogspot.com

Instagram- dj_willkan_ze_kanvol
Facebook- Willkan Von Yahewa
Twitter- Dj Willkan @djkanvol
E-mail- djwillkan@gmail.com

No comments:

Post a Comment