Thursday, July 9, 2015

Alikiba : Nikisema nielezee niliyoyapitia mtasema bora Niringe tu

ali_kibaMkalii wa “Cheketua” KingKiba kama anavyojiita amesema amepitia maisha magumu mpaka amepata mafanikio na anashangaa kwa nii watu wanasema anaringa lakini iwapo atawaambia ugumu wa maisha aliyopitia mtasema bora alinge tu.
Amesema hayo kwenye Kipindi cha XXL cha cloudsfm ambapo alikua ana’review album yake ya kwanza “Cinderella”
Week iliyopita alikiba alikua nchini Kenya ambapo alienda kwa ajili coke studio ambapo pia alipata nafasi ya kukutana na mshindi wa tuzo ya Oscar ‘Lupita Nyon’go’  ambae ni balozi mwenzie kwenye kampeni ya kupinga ujangili wa Tembo.


djwillkan.blogspot.com


No comments:

Post a Comment