Thursday, July 9, 2015

Meek Mill Atamani Nick Minaj Angekuwa Na Mimba

meek
“Anaconda” rapper, na msindi wa BET 2015 kama “Best Female Hip Hop Artist” na Philly rep rapper Meek Mill walionekana kimahaba na kufurahia penzi lao, kushikana mikono, kubusiana na wawili hao wapenzi wanaongolewa kwa sana baada ya Kanye na Kim K, Jay Z na Beyonce.

Sasa hivi mambo ni wazi sana kati ya wawili hawa, Jumatatu 6 wakati Meek Mill akifanya mahojiano kupitia Shade 45 na Dj Superstar Jay, Gray Rizzy na Kimmi Cupcakes.
“Nick Minaj hana mimba, lakini yeah, natamani, nilitweet hivyo miaka mitano iliyopita, kwa hiyo itatokea muda ujao, sio mbali lakini baadae, tukiwa tayari kwa hilo” alisema Meek Mill akiwa anapenda kuwa na watoto.

Meek Mill ameachia albamu yake inayoitwa “Dream Worth More Than Money” na anajiandaa kwenda na Nick Minaj kwenye tour ya “Pink Print” baadae mwezi huu, kwa mpango huu lazima watakick sana kwa sababu two brand on one stage alafu ni wapenzi hapo ndipo utamu unapokuja…Nick mkala Meek mkali. Bonge moja la tour huku wakishare pamoja good times.
“Dream Worth More Than Money” ndo ipo kitaanii kila mtu anaiongelea albamu hiyo, juzi wamekuwa pamoja wakishare muda wao mzuri check picha….


djwillkan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment